Vunja Mbavu 4.0.9

Lisensi: Gratis ‎Ukuran file: 3.04 MB
‎Peringkat Pengguna: 2.5/5 - ‎7 ‎Suara

Kiswahili: Vunja Mbavu ni programu ya simu janja ambayo inawawezesha watumiaji kutafuta na kusoma vichekesho na vunja mbavu nyingi zilizoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Tunaamini kwamba kucheka huleta furaha katika maisha na tunaamini kuwa kucheka ni zaidi ya tiba kwa binadamu. Vunja Mbavu ina mjumuisho wa vichekesho ambavyo vinaweza kumfanya mtu yeyote akacheka na kuburudika. Jambo la kufurahisha zaidi ni kuwa, vichekesho vyetu vinaweza kusoma au kuangaliwa na familia pia kwa sababu havina lugha ya kuudhi au matusi. Vichekesho vyetu viko katika mfumo wa maandishi, katuni, picha, sauti, na video jambo linalompa kila mtumiaji wa programu hii wasaha wa kufurahi kwa kila aina ya vichekesho. Aidha kuna: Vichekesho Vioja (Vioja) Bahasa Katuni Makala Simulizi Siasa Jamii Picha Video Inggris: Vunja Mbavu adalah aplikasi yang memungkinkan pengguna untuk mencari dan membaca lelucon yang ditulis dalam bahasa Swahili. Kami percaya bahwa tertawa dapat berdampak pada kebahagiaan hidup dan kami percaya bahwa tertawa lebih dari obat kepada orang-orang yang stres. Aplikasi Vunja Mbavu memiliki koleksi lelucon yang berbeda yang dapat membuat siapa saja tertawa dan bersenang-senang. Hal yang baik adalah; Vunja Mbavu adalah untuk semua orang bahkan lelucon keluarga karena kami mengatur bahasa yang kasar dan kami percaya siapa pun dapat tertawa tanpa mendengar kata-kata kasar.

Riwayat versi

  • Versi 4.0.9 diposting di 2016-02-13

Detil Program